Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2022

KWA WAKAZI WA DAR ES SALAAM NA PWANI

Picha
 Hodi Hodi Wakazi wa Dar Es Salaam Sasa d.light tumewafikia karibu kwa huduma Bora. Ofisi zetu zinapatikana Komanya Street Makumbusho, Opposite na Jengo la Millennium Tower.  Karibuni sana!  #Twen'zetuDar #dlight #grando pening

OFISI ZETU ZA KANDA

Picha
 Sasa unaweza tembelea Ofisi zetu za Kanda zilizopo Mikoani kwa ajili ya Huduma za bidhaa zetu.  Waweza wasiliana nasi pia kwa kupiga namba 0744999991 ama tuandikie ujumbe kwa njia ya Whatsapp Namba 0656646464 #dlightcare

LIPA MDOGO MDOGO

Picha
 Lipa Kidogo Kidogo kwa kununua mtambo Mkubwa wenye Taa 5, Paneli kubwa ya Watti 40 pamoja na Radio na Tochi kwa kianzio cha Tsh. 70,000/=  Waweza wasiliana nasi pia kwa kupiga namba 0744999991 ama tuandikie ujumbe kwa njia ya Whatsapp Namba 0656646464

KIDIJITALI ZAIDI

Picha
 Jiachie na Samsung Galaxy A12 Leo, Wasiliana nasi uweze kuhudumiwa kutoka kwa Wakala wetu alie karibu nawe NDANI ya DAR ES SALAAM na PWANI au waweza wasiliana nasi pia kwa kupiga namba 0744999991 ama tuandikie ujumbe kwa njia ya Whatsapp Namba 0656646464

JIACHIE KIDIJITALI NA SAMSUNG GALAXY A12

Picha
 Jiachie kidigitali na Samsung Galaxy A12. Wasiliana nasi kupitia 0744999991 ama WhatsApp 0656646464

UNAKOSAJE MWANGA NA RUNINGA

 Unakosaje Mwanga na Luninga kubwa kama hii? Nunua mtambo Bora leo kutoka d.light uache kuteseka.tupigie tukuletee ulipo leo 0656646464 au 0744999991 .

X850 plus

Picha
 Burudani kama yoote na X850 inayokuja na TV kubwa ya inchi 24. Wasiliana nasi leo 0656646464 au 0744999991 tukuhudumie.

SAMSUNG GALAXY A12 KWA MKOPO

Picha
 Rahisisha Maisha jipatie simu kali ya Samsung Galaxy A12 kwa kianzio cha Tsh. 110,000/= na ulipe kidogo kidogo kwa Tsh. 2,400/= kwa siku. *Vigezo na masharti kuzingatiw a.

UMEFANYA MALIPO NA HUJAPATA TOKEN

Picha
 

MTAMBO WA SOLAR NA TV

Picha
Jipatie Sola Kubwa kwa matumizi ya nyumbani pamoja na biashara kwa malipo ya awali Tsh 180,000/= na uendelee kulipia kidogo kidogo Tsh 2,995/= malipo ya siku. Tutakufikishia popote ulipo DAR ES SALAAM NA PWANI Mawasiliano � 0656646464 au � 0744999991 Karibuni Sana.

KOPA SAMSUNG GALAXY A12 NA ULIPE KIDOGO KIDOGO DAR

Picha
 Unakosaje mchongo kama huu jipatie yako sasa....0656646464 huduma hii ni kwa wakazi wa DAR na PWANI pekee kwa sasa.....

X850 PLUS 24 TV

Picha
 Usiwanyime burudani nyumbani wapatie mtambo wa solar unaokuja na TV kwa kianzio kidogo Cha 180,000/= na malipo ya siku 2995/=